msaada wa kujaza wino

msaada wa kujaza wino

Adolph

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2010
Posts
895
Reaction score
346
Wakuu naombeni msaada wakujaza wino kwenye coloured catridge ya hp officejet..rangi zote tatu ninazo,sindano ninazo..tatizo sijajua ni rangi ipi iwekwe kwenye kitundu kipi na kwa kiasi gani..naombeni msaada wenu
 

Attachments

  • IMG00253-20121028-1736.jpg
    IMG00253-20121028-1736.jpg
    209.5 KB · Views: 46
bandua label juu ya cartridge, utaona matundu matatu. Ingiza sindano isiyo na wino kutambua rangi. Kisha anza kujaza.
 
asante mkuu nimefanikiwa@Jiwejeusi
 
Tafadhali ,nitajie wapi naweza kupata wino ?, maana nimechoshwa na kununua vicatridge kila mara.
 
Back
Top Bottom