kamikaze tz
JF-Expert Member
- Apr 29, 2017
- 232
- 175
Wakuu habari, naomba msaada wa kujailbreak iPhone 5s. Shukrani
Usipendelee kununua simu za wizi mkuu.Wakuu habari, naomba msaada wa kujailbreak iPhone 5s. Shukrani
Bado una toleo hilo!Wakuu habari, naomba msaada wa kujailbreak iPhone 5s. Shukrani
Hahahaha wewe wasemaInathibitisha dhahiri pasi na shaka kuwa hastahili kutumia iPhone. TECNO ingempendeza kwa kuanzia.
Usipendelee kununua simu za wizi mkuu.
Kumkoma Nyani giladi!Yawezekana wewe ni bingwa wa kununua vya uwizi