BALINGILAKI JOSEPH
Member
- Jan 6, 2013
- 40
- 12
mie natumia nokia n73,ni nzuri sana,isipokuwa inakula sana charge.Lazima uunganishe na usb cable yake na wakati huo umeunganisha kwenye charge ya umeme.
Kwa nokia yyt tumia nokia pc suite. install kwny pc yako then connect cable kwa cm yako na pc. pc itadetect hiyo cm na utakwenda kuconnect pale kwenye tab ya data connection kwenye Nokia pc st
mie natumia nokia n73,ni nzuri sana,isipokuwa inakula sana charge.Lazima uunganishe na usb cable yake na wakati huo umeunganisha kwenye charge ya umeme.
mie natumia nokia n73,ni nzuri sana,isipokuwa inakula sana charge.Lazima uunganishe na usb cable yake na wakati huo umeunganisha kwenye charge ya umeme.
about balckberrry unatakiwa udownload latest version ya Blackberry desktop software(au manager) ukishainstall unaconnect simu yako via USB the pale chini kushoto kwenye BDM(Blackberry Desktop Manager) kumeandikwa connect to internet unaclick hapo..but before clicking inatakiwan uwe umeset APN settings za mtandao unaotumia..kwa airtel unaandika neno internet kwa herufi ndogo then unasave ukiconnect kama upo mjini na simu yako ni standard kwa speed,utainjoi mpaka noma..tigo na voda APN zao zinapatikana kwa website zaoWhat about blackberry mkuu? Tupe ufafanuz
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums