Mzee Mwafrika
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 203
- 99
Mkuu, Computer yako ni ya aina gani? ikiwezekana uweke na model namba yake ili iwe rahisi kukusaidia.Niki_boot napata hili tangazo
"Setup did not find any hard disk drives installed in your computer. Make sure any hard disk drives are powered on and properly connected to your computer, and that any disk-related hardware configuration is correct. This may involve running a manufacturer-supplied diagnostic or setup program. Setup cannot continue. To quit Setup, press F3."
Nifanye nini?
mkuu hiyo solution ya kuchange SATA kwenda IDE ndio mziki maana sijaona hiyo option kwenye BIOS
Kweli we ni Fake Pastor!Niuzie mimi
Njia nyingine ni kutafuta CD ya XP tolea la karibuni ambalo lina driver za SATA,au kama unaweza kunitafuta nikutengenezee CD ya XP ambayo ina driver za sata za computer yakomzee sijui hata mara ya mwisho kuiona floppy disc ilikuwa lini mahala nilipo nadhani zimepotea au ngumu kupata kama una njia nyingine nijulishe
mkuu hiyo solution ya kuchange SATA kwenda IDE ndio mziki maana sijaona hiyo option kwenye BIOS
Restart Computer yako kabla haijawaka bonyeza F10 kuingia BIOS setup ingia storage/storage option (sina hakika sana kama ni storage maana computer zina tofautiana kulingana kampuni iliyo tengeneza). Hapo ndio utaona sehemu ya kubadilisha SATA kwenda IDE...
Mkuu, ikikushinda hapa nitakuwa sina msaada zaidi, kama ikikushinda na kushauri mtafute mtaalamu wa computer akusaidie.