Da sleeping Giant
Member
- Apr 5, 2023
- 25
- 59
Habari wakuu, heshima kwenu wakubwa kwa wadogo
Najua humu kuna watu wa kila aina wenye kufahamiana na watu wa kada mbalimbali mnaoweza kuwa msaada kwangu siku zijazo
Mimi ni mtanzania kutoka kanda ya ziwa mwenye miaka 27 na Medical Doctor naomba mwenye connection za kusaidia kuingia JWTZ anisaidie, nina ndoto ya kutumika huko nmejaribu mara moja kuomba haikuzaa matunda, japo nafasi hazijatoka kwa sasa lakini kwa anayeweza kuwa kiunganishi kwangu tukiwa tunasubiria nafasi zitoke ntashukuru na ntamshika mkono kwa shukrani pia
Thanks in advance.