Habarin ni matumaini yangu kua wazima .Ninahitaji kupata msaada mimi ni muhitim wa bachelor ya education katika mizunguko yangu nmepata nafasi ya kwenda kusoma masters china lakin katika kozi ya environnental law mm nilisoma geography katka bachelor yqngu je hii coz inanifaaa? La pili je hii coz ina soko ktk ajira