Ryanvonryx
Member
- Dec 24, 2016
- 19
- 8
Poa mkalNgoja wataalam waje
simu gani hyo mkuuDah simu yangu imekuwa slow sana mpaka muda mwingine natamani kuivunja xoz ukifungua mafaili inaload mda mrefu sana
Muda mwingine mpaka uizime mwanga wa screen af uwashe ndo ifanye kazi japo inakuwa polepile sana na mda mwingine ina stack
Naombeni msaada jamani
Dah bro n y3 plus tecnosimu gani hyo mkuu
simu za ram 512mb ni majanga, hapo labda kama una app ya facebook na messenger zitoe eka facebook lite angalia na app nzito nzito zitoeDah bro n y3 plus tecno
Pia jaribu kupitia storage capacity iliyobakia kwenye simu, kama itakua imekaribia kujaa basi futa baadhi ya videos na picha.Dah bro n y3 plus tecno
Poa brosimu za ram 512mb ni majanga, hapo labda kama una app ya facebook na messenger zitoe eka facebook lite angalia na app nzito nzito zitoe
Sawa dah kumbe jambo dgPia jaribu kupitia storage capacity iliyobakia kwenye simu, kama itakua imekaribia kujaa basi futa baadhi ya videos na picha.
Ingekua vizuri kama ungepata memory card ili uhamishie baadhi ya files na applications kutoka kwenye phone storage kwenda kwenye hiyo SD card, hii itasaidia kuipa Android sehemu (workspace) ya kutosha kufanyia kazi hatimaye kuongeza speed ya simu.
Hahaha[emoji2] [emoji2] [emoji2]Amia mtaa mwingine babu kwani mtaauo minazani kunawachawi wanakuwangia [emoji125][emoji125][emoji125]