mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,362
- 6,480
Imea fake hiyo imei huaanza na 35.....mkuu, simu nyingine aina ya samsung s2 imefungwa, IMEI yake inaanza na 049. Je hii simu inaweza kuwa feki kweli mpaka kufungwa na TCRA au tatizo ni hio IMEI tu? naomba mwongozo