Nahitaji kufungua pay pal account nina Mastercard ya NMB kuna mtu aliniambia natakiwa niunganishe kwanza Mastercard na internet sijui hapo ndio kaniacha na yeye ananipa maelezo ya kukisia.
Naomba msaada mwenye kujua hatu kwa hatu hadi mwisho ili nifungue pay pal maana nilifungua pay pal kwa kutumia Vodacom niliweka elfu 8 yangu walichukua na hwajanipa code wanasema Mastercard yangu invalid.