habari za asubuhi wadau wa jf. ni matumaini yangu mu wazima wa afya na nina furaha kufahamu hilo. ningependa kujuzwa nanma ya kufungua loptop ambayo imefungwa ishindwe kuingia kwenye mitandao mingene isipokuwa mmoja tu yani inaniboa sana nakuwa ofisini nashindwa kusoma hata gazeti eti hadi nirudi nyumbani msaada wako nimuhimu sana mdau na sababu naamini jf kuna watu wengi wenye talanta mbalimbali hivyo naamini nitasaidika.natanguliza shukrani