Msaada wa Kufungua Iphone (Icloud) Baada ya Kuformat

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Salaam

Nilinunua Iphone 6 cha mkononi, yumkini niliweka Icloud na bahati mbaya simu ikakorofisha, kuoeleka kwa fundi akaifrimat na ikaanza kuniuliza nywila ya Icloud

Nimehangaika hadi kwa aliyeniuzia lakini imeshindwa kufungua ni ninayi kama UREMBO TU

Tafadhali mwenye ushauri wa jinsi ya kuifungua ama ambaye ameoitia uzoefu huu anisaidie

shukrani sana
 
Mkuu tatizo lako nikama langu... wakijibu unitag.
 
Kuwa na uhakika wa izo password kwanza the anza izo password Kwa heruf kubwa Kwa mwanzon tuu
 
Haiwezi kutoka mpaka nwenye simu aweke password.
Kabla ya kununua simu yoyote second hand kumbuka kufanya reset/format mbele ya mwuzaji iCloud haitoki na baadhi ya simu za Android zina feature kama hiyo ambayo haitoki.
 
Salaam

Nilinunua Iphone 6 cha mkononi, yumkini niliweka Icloud na bahati mbaya simu ikakorofisha, kuoeleka kwa fundi akaifrimat na ikaanza kuniuliza nywila ya Icloud

Nimehangaika hadi kwa aliyeniuzia lakini imeshindwa kufungua ni ninayi kama UREMBO TU

Tafadhali mwenye ushauri wa jinsi ya kuifungua ama ambaye ameoitia uzoefu huu anisaidie

shukrani sana

NAOMBA IMEI NAMBA YAKE ANDIKA HUMU ILI NIKUELEKEZE
 
hahaha poleni!
Unauziwaje iphone ikiwa na icloud locked!!
Hapo mmefunga ndoa ya kikatoliki!Na mbaya zaidi mtakamatwa kijinga halafu mumtaje aliyewauzia!
Icloud inapeleka taarifa zote mkiwa online!nawashauri rudishen kwa aliyewauzia na awape hela la sivyo wazee wa Cyber Makao Makuu ya Polisi lazima watawakamata tuu
 
NAOMBA IMEI NAMBA YAKE ANDIKA HUMU ILI NIKUELEKEZE

Mafundi wengi wa iphone sio waaminifu!Wanachofanya ukipeleka simu yako wanakagua sacket kama iko locked na icloud,ikiwa icloud free,wanabadilisha wanaweka iliyokuwa locked ili ukafe naye nao au kukamatwa halafu wao wanachukua iliyokuwa icloud free wanauza!Hayo yanatokea saana pale Aggrey kariakoo wazee wa simu za deal
 
Haiwezi kutoka mpaka nwenye simu aweke password.
Kabla ya kununua simu yoyote second hand kumbuka kufanya reset/format mbele ya mwuzaji iCloud haitoki na baadhi ya simu za Android zina feature kama hiyo ambayo haitoki.
Kwa icloud nitakubali ila kwa android ni rahisi. Unaiflash frp inatoka
 
Mafundi wengi wa iphone sio waaminifu!Wanachofanya ukipeleka simu yako wanakagua sacket kama iko locked na icloud,ikiwa icloud free,wanabadilisha wanaweka iliyokuwa locked ili ukafe naye nao au kukamatwa halafu wao wanachukua iliyokuwa icloud free wanauza!Hayo yanatokea saana pale Aggrey kariakoo wazee wa simu za deal
aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom