usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,031
Naomba wakuu kwa anayezielewa hz cm Huawei Y330 nataka kuiflash ili iwe inaingia lain yoyote kweny lain namba 1 maana n tgo tu ndo inayosoma no 1 kwa sababu nlinunua kweny maduka ya tgo ila no 2 inaingia lain yoyote sasa je?? Nkiiflash itafanyakaz au ndo ntakua nmeiuwa mazma naomba msaada wenu hapo wakuu