Ukifika Ubungo standi ya mkoa chukua bodaboda akupeleke mawasiliano(standi ya daladala,nauli isiwe zaidi buku jero. Panda daladala inayokwenda Makumbusho, mwambie konda kuwa unashuka Bamaga, nauli ni mianne tu. Ukishuka Bamaga chukua bodaboda atakupeleka NECTA, nauli ni buku tu.