Wakuu habari
Nataka kufanya sim card Port kutoka Vodacom kwenda tigo but kinachotokea ni kwamba kila nikifanya naambiwa taarifa ziko wrong, nikaenda Vodacom wakaniprintia taarifa zangu kama zinavyoonekana kwao na hiyo print out nikapeleka tigo na wao wakaingiza taarifa kama zilivyotoka Vodacom na bado ikashindikana kwa error messages ya wrong information, sina den lolote Vodacom, msaada please kwa anaejua