Wasalaam wakuu... kwanza hongeleni kwa vijana wa kidato cha sita waliofaulu.. pia poleni kwa wale tulioshindwa kufanya vema kwenye matokeo lakini kumbuka kufeli mtihani siyo kufeli maisha
Turudi kwenye maada tajwa hapo juu
Nahitaji kufahamu namna ya kukokotoa hizi cut off points kwenye vyuo...
Kwa mfano hapo
unachukua principle pass za masomo yote matatu? Ama mawili pekee?
Kama ni mawili unazingatia ufaulu wa somo? ama unazingatia nini hasa?
Natanguliza shukurani zangu za dhati kwenu wakuu...
hapo ni masomo matatuWasalaam wakuu... kwanza hongeleni kwa vijana wa kidato cha sita waliofaulu.. pia poleni kwa wale tulioshindwa kufanya vema kwenye matokeo lakini kumbuka kufeli mtihani siyo kufeli maisha
Turudi kwenye maada tajwa hapo juu
Nahitaji kufahamu namna ya kukokotoa hizi cut off points kwenye vyuo...
Kwa mfano hapo
unachukua principle pass za masomo yote matatu? Ama mawili pekee?
Kama ni mawili unazingatia ufaulu wa somo? ama unazingatia nini hasa?
Natanguliza shukurani zangu za dhati kwenu wakuu...
Asanteh... kwa mfano hapo juu ni cut off point za MUHAS... swali... je Wamechuku masomo yote matatu ama wamechukua mawili?Namna ya kukokotoa Cut off Points inategemeana na Chuo husika na kozi husika Mfano baadhi ya Vyuo Km UDSM kwa art clursei huwa wanachukua Three subjects kwa Science courses huwa wanachukua 2 subjects sina uhakika na uzoefu kwa Medicine wanakokotoa VP....
Total cut off points out of Three or Two subjects wanakokotoa kwa kufuata thamani ya Principal km ifuatavyo A-5 B-4 C-3 D-4 E-1 S-0.5 Na F-0
KIMEO CHANGU
asanteh.... maana yake mwenyewe CCC anakuwa na cut off point 9...hapo ni masomo matatu
kuhesabu wanafanya namna hii
A=5, B=4, C=3, D=2, E=1, S=0.5
kwahiyo hapo ukichukua alama uliyopata ukasum zote tatu ukiacha BAM na GS utapata point zako
kumbuka hata kama utakuwa na point nying ila huna atleast D mbil maana yake tayar huna sifa
kwa mfanao mtu mwenye AEE maana yake ana 5+0.5+0.5=6 lakini hana sifa za kujiunga na chuo kikuu maana hana atleast D mbili
Degree mkuuJamani ni na mdogo wangu ana E ..zote PCM ...vipi degre anasoma au diploma
Post sent using JamiiForums mobile app
E ina point moja kwa hiyo E Mbili inakuwa points 2Jamani ni na mdogo wangu ana E ..zote PCM ...vipi degre anasoma au diploma
Post sent using JamiiForums mobile app
Unamaanisha nini sasa mkuuuE ina point moja kwa hiyo E Mbili inakuwa points 2
ili udahiliwe chuo kikuu ni lazima angalau uwe na point 4 kwenye masomo mawili
Ndio mkuu amekidhi vigezoasanteh.... maana yake mwenyewe CCC anakuwa na cut off point 9...
Hivyo mtu huyo anaweza soma course yenye uhitaji wa points nane?...
A=5Unamaanisha nini sasa mkuuu
Post sent using JamiiForums mobile app
Anamaanisha hawez soma degreeUnamaanisha nini sasa mkuuu
Post sent using JamiiForums mobile app
Labda diploma mkuuHivi point 3 naweza pata chuo
Post sent using JamiiForums mobile app
kuna dogo anataka MD ana BCC kwenye PCB... lkn vyuo vyote vya afya wanahitajiA=5
B=4
C=3
D=2
E=1
Unatakiwa utafute masomo mawili kwenye combination yako ambayo utaundia cutt off points
sasa rudi kwenye maelezo yangu ya mwanzo
Kwa muongozo wa TCU wa mwaka huu wanataka masomo yote matatu yaunde cutt off points 8 na waka specify kabisa iwe angalaukuna dogo anataka MD ana BCC kwenye PCB... lkn vyuo vyote vya afya wanahitaji
01.chemistry na Biology ambapo anakuwa na 6
02.Ama ukichukua either chemistry or biology and physics anakuwa na saba
sasa ipi ni sahihi kwa vigezo vya udahili upande wa afya kati ya 01.ama 02.?
Sio lazima atleast iwe D mbili. Hata A+E au B+E au C+E pia inafaahapo ni masomo matatu
kuhesabu wanafanya namna hii
A=5, B=4, C=3, D=2, E=1, S=0.5
kwahiyo hapo ukichukua alama uliyopata ukasum zote tatu ukiacha BAM na GS utapata point zako
kumbuka hata kama utakuwa na point nying ila huna atleast D mbil maana yake tayar huna sifa
kwa mfanao mtu mwenye AEE maana yake ana 5+0.5+0.5=6 lakini hana sifa za kujiunga na chuo kikuu maana hana atleast D mbili
ndio anaweza kusomaasanteh.... maana yake mwenyewe CCC anakuwa na cut off point 9...
Hivyo mtu huyo anaweza soma course yenye uhitaji wa points nane?...