Msaada wa kufahamishwa kuhusu kozi hizi

Msaada wa kufahamishwa kuhusu kozi hizi

Vampirez

Member
Joined
Apr 19, 2022
Posts
71
Reaction score
62
Habari za muda huu wana JF, nilitaka kufahamu kuhusu hizi kozi mbili zinahusu nini haswa, na ushauri pia ipi itakuwa poa kupita nayo.

1) Bachelor of Engineering in Data Science (MUST).

2) Bachelor of science in Mathematics and Statistics ( UDOM)
 
Back
Top Bottom