Msaada wa Kudukuliwa

Samboko

JF-Expert Member
Oct 30, 2011
5,418
7,734
Habari wakuu,

Kuna uwezekano mtu akahaki taarifa za mawasiliano ya simu ya mkononi hata kama ukireset simu na kuondoa app zote za kudownload pamoja na email na bado akaendelea kupata taarifa za anaedukuliwa?
Naombeni msaada wakuu, maana nahisi nadukuliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom