Msaada wa kudownload spotify

Misunderstood

JF-Expert Member
Aug 4, 2020
384
882
Habari wataalamu wa teknolojia!
Jamani nimedownloa VPN PROXYMASTER ili niweze kudownload app ya Spotify kwasababu huku nchini kwetu hatuwezi kudownload sasa nikiingia Appstore naambiwa....
IMG_9940.png

Naombeni msaada wa namna yoyote naweza download Spotify.
 
Sign in kweny account yako kweny web browser kisha change location yako weka French..baada ya Hapo sasa washa vpn yako chagua location french kisha kua connected huko then kafungue app yako sasa ya Spotify.

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Samahani, account gani unayoongelea ni sign in? Google account au
 
Ungekuwa unatumia android ungedownload apk yake google ..

Sema kwanini usidownload deezer au apple music ambao wameona wabongo wale ngoma watakavyo,sio hao waswidishi(spotify) wanaotubagua
 
Habari wataalamu wa teknolojia!
Jamani nimedownloa VPN PROXYMASTER ili niweze kudownload app ya Spotify kwasababu huku nchini kwetu hatuwezi kudownload sasa nikiingia Appstore naambiwa....View attachment 1612915
Naombeni msaada wa namna yoyote naweza download Spotify.
Tumia Apple music tu bro au Deezer
 
Ungekuwa unatumia android ungedownload apk yake google ..

Sema kwanini usidownload deezer au apple music ambao wameona wabongo wale ngoma watakavyo,sio hao waswidishi(spotify) wanaotubagua

Hiyo deezer si kama audiomack tu?
Nataka Spotify maana ina exclusize music! Au hiyo deezer iko poa zaidi? Na applemusic kusikiliza music online si mpaka ulipie?
 
Hiyo deezer si kama audiomack tu?
Nataka Spotify maana ina exclusize music! Au hiyo deezer iko poa zaidi? Na applemusic kusikiliza music online si mpaka ulipie?
Deezee sio kma audiomack. Unapita nyimbo zote. Ahat hyo Spotify unayotaka kudownload unalipia. Ila Apple music kwa sasa wana 3 months free trial
 
Asanteni jamani nimeweza kujiunga na applemusic naenjoy free music for three months, na deezer nayo iko poa. Mmbarikiwe mmenitoa ushamba. Ila siku nyingine nitkuja kuomba maelekezo juu ya matumizi ya VPN.
IMG_9941.png

~Music is a safe kind of high!
 
Hiyo deezer si kama audiomack tu?
Nataka Spotify maana ina exclusize music! Au hiyo deezer iko poa zaidi? Na applemusic kusikiliza music online si mpaka ulipie?
Aliyekuambia spotify ni bure ni nani?..

Exclusize music ndo kitu gani na kwanini unadhani hakipatikani deezer?
 
Mkuu spotify iko poa sana
Naweza sema kuliko hizo app nyingine za music ni mtazamo wangu lakini
Jinsi ya kudownload ingia kwenye setting za apple id yako
change country i guess ume-set Tanzania weka hata USA
Then save
Rudi kwenye appstore uta-download fresh
Huko mbele utaendelea na vpn baada ya app kuingia.
 
Spotify walishapoteza ladha, Apple Music anakuja juu now. Soon itakua no1
 
Back
Top Bottom