Kama yupo ataeweza nisaidia kujua namna ya kudownload series all in one package nitafurahi sana, site nyingi ninazoingia series inanibidi nidownload episode 1 moja jambo ambalo linanichosha.
Naomba mwenye kujua site ambayo naweza download mfano prison break zote ziwe kwenye singo torrent msaada wenu wana jamvi nimekwama ndugu yenu.