msaada wa kudownload pdf

Kijana shukuru kunawatu wanamoyo wa kusaidia maana Duu mara ya mwisho kutumia feature phone ilikua 2007(He he he heeee)
Haya jichagulie HIZI HAPA ila usitegemee zinafanya kazi vizuri saaana
 
Nitapataje wap software ya pdf,coz nna tatzo km hlo pia waungwana.mi n nokia 5310c-2(xpresmusic)
 
Mimi nadhani kudownload file la pdf sio tatizo, unless kama kuna tatizo ambalo ni kwa mafaili yote hata mp3. Tatizo la pdf files sio kudownload bali kulifungua ili ulisome.
Niliwahi kufungua pdf file na kusoma kwa kutembelea hapa:m.poschi.net. Kama unatumia opera mini, download hiyo pdf kisha fungua hiyo address fuata maelekezo ya kuconvert kuwa html, kuupload na kulisoma. Lakini siku hizi inagoma. Labda ujaribu. Kama huwe zi kudownload ujue kuwa sio kwa sababu ni pdf kunatatizo lingine. Tambua kuwa mafail madogo ya pdf ndio unaweza kusoma.
 
Back
Top Bottom