Msaada wa kudownload game

Msaada wa kudownload game

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
381
Reaction score
131
Habarini wataalam. Nina desktop yangu. Nataka KUDOWNLOAD game ya EURO TRUCK SIMULATIOR.

Tafadhali mnisaidie link ambayo nikidownload nipate hiyo game free from charge. Specifications za computer yangu ni;

Processor 3.30ghz
Ram 4gb
Hdd 464.

Asanteni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilivomaliza form four nikaacha kucheza magame ya kitoto

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
 
Family tumepata new member, mwambie apitilize hadi Puno..[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini wataalam. Nina desktop yangu. Nataka KUDOWNLOAD game ya EURO TRUCK SIMULATIOR.

Tafadhali mnisaidie link ambayo nikidownload nipate hiyo game free from charge. Specifications za computer yangu ni;

Processor 3.30ghz
Ram 4gb
Hdd 464.

Asanteni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifanikiwa nijuze umepakua wapi nami nikalipakue Au KAMA KUNA MWENYE SETUP NAOMBA ANISAIDIE NIPO DSM
 
Okay sasa hapo kwenye nchi zipo kama ngapi maana wengine hatupendi mods ila tunapenda barabara ziwe nyingi?!
NCH NI NYING BROO. YAANI ZOOTE ZINAZOUNDA BARA LA ULAYA . NA KUHUSU BARABARA NI ZA RAMI NA WENGINE KAMA MIMI NDO HATUZIPENDI
 
Back
Top Bottom