Game la mpira GB 317 Kustack stack

Game la mpira GB 317 Kustack stack

omary khamis

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
402
Reaction score
77
Hellow wanajf mimi nina hp yenye specification RAM 4gb, hdd 320gb, core!3 processor 2.30ghz nimeweka game la mpira nashangaa kuona linastack hata kucheza imeshindikana naomben mnisaidie kimawazo na ushauri pia je ni kitu gan kinamis apo na nifanyeje kufanikiwa hili ???
 
Kivipi mkuu sijakuelewa apo
Kwa details za computer yako ulivyozielezea ziko imara kabisa kustream chochote online bila kusitasita. Internet connection yako kama siyo imara inaweza kuwa tatizo. Kama internet yako uaiamini basi jaribu kufanya complete scanning ya virus ktk computer yako. Kama haujafanya virus scanning ya mara kwa mara, huenda kuna virus, trojans, malware na uchafu mwingine ambao uanifanya computer yako iwe inakwenda mwendo wa kobe. Kama huna virus software. Basi itafute uiweke. Na fanya weekly virus scanning kwenye computer yako. Pia check firewall yako. Kila la kheri.
 
Computer yako haina tatizo. Tatizo ni network ya mtandao iko na figisu figisu
Kama unacheza hiyo game offline bila kuwa online basi itakuwa ishu ya virus. Graphic card inaweza kuwa dhaifu lakini haiwezi kukupa kusuasua kwa sababu ram uliyokuwa nayo inatosha. Hizo specifications za hiyo game na computer yako vinaendana?
 
Itakuwa graphic card yako dhaifu ni intergrated graphic card ingekuwa dedicated zinakuwaga poa.
Huyo anayekwambia ram inajitosheleza so haina haja ya graphic card siyo kweli kwenye gaming graphic card ni muhimu sana maana ndiyo ina process graphics mkuu
 
Graphics card yako ni ndogo...mimi yangu inaspecification hizo hizo lakini PES 2017 linacheza poa lakini graphic card yangu ni NVIDIA GeForce 310M
mkuu,unaweza nisaidia io pes 2017
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom