Hongera Mkuu kwa kuwa na nia ya dhati ya kujifunza.
Ugumu uko wapi katika kutoa signal kwenye class A amp inayofanya kazi kwa 360 deg ya signal kuingiza kwenye class AB amp (push-pull inayofanya kazi kwa180 deg ya signal kwa kila transistor)?
Kuna class A,B,AB,C.D. class zote izo zina toa efficiency tofauti na nyingine na pia ubora wa sauti zina tofautiana angalia izo picha apo chiniLabda ungeanza na kuintroduce hizo class maan watu walikwenda shule muda mrefu uliopita japokuwa ujuzi hauzeeki lakini huwa wanahitaji kukumbushwa kidogo.
ˡ ˡⁱᵏᵉ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
Push-pull amp ni complementary pair, hivyo basi kama umeweza ku-bias NPN, fanya hivyo hivyo kwa PNP transistor.
Kwani chief kama ameweza kubias NPN si afanye alivyobias hiyo kwa ajili ya kubias PNP au kuna isipokuwa zinakuwa na output moja?Kwa kuwa umeweza ku-bias NPN transistor, weka schematic diagram yake kurahishisha kazi.
endelea tuu kuchanganya ELFU mbona tunakuelewa tuu mkuu.elfu
Uko sahihi Mkuu. Nimeielezea kwenye post #6, ila kaomba mfano ndo nikamuomba atume mchoro wa design yake ili niutumie katika mfano. Ufafanuzi uko post #10Kwani chief kama ameweza kubias NPN si afanye alivyobias hiyo kwa ajili ya kubias PNP au kuna isipokuwa zinakuwa na output moja?
ˡ ˡⁱᵏᵉ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
Haya mambo nimeshaanza kuyasahau, tangu nitoke chuo ni miaka kama 14 sahv.Uko sahihi Mkuu. Nimeielezea kwenye post #6, ila kaomba mfano ndo nikamuomba atume mchoro wa design yake ili niutumie katika mfano. Ufafanuzi uko post #10
Ujuzi hauzeeki Mkuu, ukifanya revision kidogo mambo yanatiririka.Haya mambo nimeshaanza kuyasahau, tangu nitoke chuo ni miaka kama 14 sahv.
ˡ ˡⁱᵏᵉ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
Ok.
1. Unaweza kutoa specifications za amp unayotaka kuunda? Eg Output Power(rms)
2. Kwa kuwa unatumia power supply ya single voltage, inaweza kufanya kazi kwenye simulation, usitegemee kufanya kazi kwenye real world circuit, kwa kuwa hakutakuwa na supply voltage kwenye half-cycle ya conduction ya PNP transistor. Hivyo kutakuwa distortion kubwa kwa kuwa push-pull amp itatoa half-cycle ya NPN transistor tu.
ina watts ngapNa hiyo ndo output carve yake ya class A kijani na class AB blueView attachment 1387834
Sent using Jamii Forums mobile app