habarini za jioni wakuu!ninaomba msaada anaeweza nijuza jinsi ya ku crack m/s office 2013 maana nili download bila ya kuiactivate na mda wake wa majaribio umeisha so inanisumbua na nitshukuru sana kama mtanimwagia maujanja wakuu
Kuna thread humu alianzisha Mzizi Mkavu, inahusu huo ujanja, pia aliatach ka software flani kanaitwa Office Tool kit, nilikadownload. Hako kadude kanachakachua ofice 2013 ni mwisho, kitu kitankuwa genuine hadiukipenda ku-update hakuna wasiwasi.