msaada wa kuchakachua moderm ya zain

yaan unapewa mb 400 kwa 2500 bdo unataka kuwachakachua? Tuwe hata na moyo wa shukran jamn! 2nawachakachua wanao2chakachua!
 
@gadoneya to hell with intellectual property rights...vinachakachuliwa kwa kwenda mbele 2,ila namshaur abak na hao hao airtel cuz bei poa na spid nzur...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom