Msaada wa kuchagua engagment na wedding ring

asikuchoshe.....

mweleze bajeti yako, nenda nae mkanunue wote
 
Ina maana bondeni wanauza tanzanite/gold rings bei chee hivyo kuliko tanzania???

Duh kama ni hivyo basi wale wahindi wa Indira Ghandi wanawaibia sana wabongo....

Pete kama hizo especially zenye stones za tanzanite huwa ni zaidi ya 1000$...
 
Kama ndoa ni Kikristu inatakiwa "Plain wedding ring". Nenda kwa sonara wakupime vidole
 

my dia. R1500 kwa engagement ring ni ndogo. ina maana yale mawe unayoyaonaga kwenye pete kama tanzanite , diamonds n.k yatakuwa feki yaan vioo tu. izo ulizoonyesha hapo kama stones ni real then huwez pata. nenda kwa masonara ukaangalie pete inayoendana na budget yako. nenda gold street upite kwenye maduka. kama vip ni vizuri kwenda na partner....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…