Ni South African Rand dadangu
sisi tukikuchagulia afu ukampelekea akasema mbaya utafanyaje......? mie nadhani swala la uchaguzi wa pete inabidi mshirikiane wote wawili......
Ambazo ni Tshs ngapi..........?......
kweli wadada wameamua... valentine hawataki maua tena na vichocolate ni kitu cha commitment, tangaza engagement na ndoa juu!!!!
sanaaaaa! Na migegedo kwishney adi ndoa
umetoa jibu zuri nikupe zawadi gani muda huu?
Pete ya silver yenye Cubic Zircon inafaa for engagement???Naomba msaada wenu tu kwa hili