MSWATI III
Member
- Nov 16, 2010
- 90
- 63
Za weekend waheshimiwa. Kuna mtu ananisumbua sana kwa kunipigia simu mara kibao. Yaani anaweza nipigia hata mara 100 kwa siku. nmejaribu kumkataza lakini haelewi. Nilijaribu kuomba msaada kutoka kwa kampuni ya simu husika wakasema nitoe tarifa polisi. Kabla sijaenda polisi, naombeni msaada kama kuna mtu anafahamu jinsi ya kublock namba sumbufu anisaidie. Enjoy your weekend!