Msaada wa 'kubebwa' hostel Ustawi wa Jamii

Msaada wa 'kubebwa' hostel Ustawi wa Jamii

Ushauri tu. Ustawi hostel ni chache, wengi wanachofanya ni kupanga nyumba mtaaani, hivyo tafuta mwenzako muwe wa2 au hata zaidi mkapange mtaani. Madalali wapo.
 
Mimi ni mdada nimepata chuo hapo ustawi.
Xaxa natafuta mdada au mwenyeji hapo dsm.
Nimeshindwa kulipia hosteli ila pesa ya kula haitanipiga chenga.
Nashukuru!
Ambaye anaweza kunibeba ni lazima awe mdada. (Wakaka am xorry)
Natokea Arusha.
So pm me nitakupa my namba.
Tena una bahati sana, mm ninavyo wapenda watoto wa A-Town, ondoa shaka, njo PM
 
Hakuna mwanamke atakayejitambulisha MIMI NI MDADA.....Matoto ya O-level yakishajua terminologies za chuo yanakuja kutusumbua humu
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Ushauri tu. Ustawi hostel ni chache, wengi wanachofanya ni kupanga nyumba mtaaani, hivyo tafuta mwenzako muwe wa2 au hata zaidi mkapange mtaani. Madalali wapo.
Thenkx.
Mimi sio mwenyeji wa dsm. Ila naona unanipa mwanga. Nitajua badae itakuwaje
 
Mishkaki ipo, hutakosa pakujishkiza kwa muda hadi upate akili, nenda karpoti. Ukfka nitafute
 
Back
Top Bottom