Msaada wa kubadilisha Gmail tafadhali

Msaada wa kubadilisha Gmail tafadhali

lyakurwaD

Member
Joined
Jan 10, 2017
Posts
50
Reaction score
39
Natanguliza shukran zangu tafadhal wadau wa jukwaa hili naomben maelekezo jinsi ya kubadili au kurekebisha jina ninalotumia kweny google

Mfano natumia mandelaputin@gmail.com
Nataka nibadili iwe mandelanjau@gmail.com

Kwa wale wenye uelewa kuhusu hili tafadhal msaada wenu

Naomba kuwasilisha
 
Haiwezekani unachotaka kufanya, itabidi ufungue email nyingine yenye hilo jina jipya.
 
Haiwezekani unachotaka kufanya, itabidi ufungue email nyingine yenye hilo jina jipya.
Poa mkuu ila ntapoteza vitu vingi au ntaweza kuamisha picha zangu zilizomo??
 
Back
Top Bottom