Msaada wa kubadilisha daraja la leseni

Msaada wa kubadilisha daraja la leseni

the sister

Member
Joined
Oct 25, 2018
Posts
93
Reaction score
185
Habarini wapenzi naombeni msaada huu..nina leseni daraja D sasa nataka leseni daraja C maana nataka kutafuta kazi ya kuendesha taxi..je kupata daraja C natakiwa nirudi tena chuo cha udereva nikasome?
Asanteni.
 
Ndio lazima usome upate cheti ndio utafanikwa kubadili, nenda VETA au NIT
 
Unatafuta vingi kwa mwaka huu na hili nalo duh
Habarini wapenzi naombeni msaada huu..nina leseni daraja D sasa nataka leseni daraja C maana nataka kutafuta kazi ya kuendesha taxi..je kupata daraja C natakiwa nirudi tena chuo cha udereva nikasome?
Asanteni.
 
Unahitajika kutumia daraja D kwa muda wa usiopungua miaka mitatu , baada ya hapo utaenda kusomea tena course fupi upate daraja E. Utadumu na daraja E tena kwa muda usiopungua miaka 3. Ndio uwe na sifa za kwenda Veta au NIT tu kupata mafunzo ya daraja C.
 
Duh jamani kumbe process
 
Sasa miaka 6 yote hiyo doh bado hujaanza kuzichungulia za Utumishi nao wanakwambia miaka 3 na C yako ila njia za panya zipo bhana bila shaka.
 
Habarini wapenzi naombeni msaada huu..nina leseni daraja D sasa nataka leseni daraja C maana nataka kutafuta kazi ya kuendesha taxi..je kupata daraja C natakiwa nirudi tena chuo cha udereva nikasome?
Asanteni.
uber baby
 
Mbona unahangaika sana,yaani upate C ili uendeshe Taxii,mbona watu wana drive na wana D,njoo PM
 
Back
Top Bottom