Msaada wa Kubadili Shule Kidato cha Tano

Ukumbuke Tabora girls ni shule ya watoto wenye vipaji,kwahiyo ahakikishe kuwa mtoto wake yuko vizuri...
 
Hakuna shule ambayo imewahi kujaa, halafu mkuu wa shule ni fala tu kwenye ishu ya uhamisho.
 
Hakuna shule ambayo imewahi kujaa, halafu mkuu wa shule ni fala tu kwenye ishu ya uhamisho.
π™½πšŠπš˜πš—πšŠ πš—πš’πšœπš’πš”πšžπš‹πš’πšœπš‘πš’πšŽ πš–πš”πšžπšž,πš”πšžπš—πšŠ πšœπš‘πšžπš•πšŽ πš’πš—πšŠπšžπš πšŽπš£πš˜ 𝚠𝚊 πš πšŠπš—πšŠπšπšžπš—πš£πš’ 120 πš•πšŠπš”πš’πš—πš’ πš’πš–πšŽπš™πšŠπš—πšπš’πš πšŠ πš πšŠπš—πšŠπšπšžπš—πš£πš’ 285 πš“πšŽ πšžπš—πšŠπšπš‘πšŠπš—πš’ πšžπšπšŠπš™πšŠπšπšŠ πš—πšŠπšπšŠπšœπš’ πšžπš”πš’πšπšŠπš”πšŠ πš”πšžπš‘πšŠπš–πš’πšŠ?π™Ίπš πšŠ πšπšŠπšŠπš›πš’πšπšŠ πš’πšŠπš”πš˜ πš”πšžπš™πš’πšπš’πšŠ π™Ώπšπ™΄π™Όπš‚ πš–πš”πšžπšž 𝚠𝚊 πšœπš‘πšžπš•πšŽ πšœπš’ πšπšŠπš•πšŠ πš”πšŠπš–πšŠ πšžπš•πš’πšŸπš’πš˜πš–πšžπš’πšπšŠ.π™·πšžπš’πšž πš–πš£πšŠπš£πš’ πš”πšŠπš–πšŠ πšŠπš—πšπšŽπš”πšžπš πšŠ πš–πš”πšŠπš£πš’ 𝚠𝚊 πšπšŠπš‹πš˜πš›πšŠ πš‹πšŠπšœπš’ πšπ™°πš‚ 𝚠𝚊 πšπšŠπš‹πš˜πš›πšŠ πš’πš—πšπšŽπš”πšžπš πšŠ πš—πš’ πš›πšŠπš‘πš’πšœπš’ πšœπšŠπš—πšŠ πš”πšžπš–πš™πšŠπš›πš’πšŠ πš—πšŠπšπšŠπšœπš’
 
Salaam! Ni binti amepangiwa kuripoti Kondoa girls, Na mimi nahitaji akasome Tabora girls, Kwa mwenye kujua process tafadhali nisaidieni......

naona wadau wengi wanatoa njia za kuhama shule. Ila kwa nijuavyo, ni vigumu kuhama kutoka shule ya kawaida kwenda special school kama tabora girls.
 
Wanao monita hizo prems sio mkuu washule pekeyake, halafu Sasa mkuu wa shule ndo mtu wa mwisho yeye Huwa anapewa maelekezo tu.
 
Wanao monita hizo prems sio mkuu washule pekeyake, halafu Sasa mkuu wa shule ndo mtu wa mwisho yeye Huwa anapewa maelekezo tu.
πš‚πš’πš’πš˜ πš”πš πšŽπš•πš’ πš”πšŠπš‹πš•πšŠ 𝚒𝚊 πšžπš‘πšŠπš–πš˜πšœπš‘πš˜ πš•πšŠπš£πš’πš–πšŠ πš–πš”πšžπšž 𝚠𝚊 πšœπš‘πšžπš•πšŽ πšŠπš”πšžπš‹πšŠπš›πš’ πš—πšŠπšπšŠπšœπš’ πš’πš™πš˜ πš—πšŠ πš”πšžπšπšŽπš—πšπšŠ πš—πšŠπšπšŠπšœπš’ πš”πš’πšœπš‘πšŠ πš–πš”πšžπšž 𝚠𝚊 πšœπš‘πšžπš•πšŽ πšŠπš—πšŠπš”πš˜πšπš˜πš”πšŠ πš–πš πšŠπš—πšŠπšπšžπš—πš£πš’ πšŠπš—πšŠπš–πš‘πšŠπš–πš’πšœπš‘πšŠ πš—πšŠ πš‹πšŠπšŠπšπšŠπšŽ πšŸπš’πš˜πš—πšπš˜πš£πš’ 𝚠𝚊 πšŽπš•πš’πš–πšž πš—πšπšŠπš£πš’ 𝚒𝚊 πš‘πšŠπš•πš–πšŠπšœπš‘πšŠπšžπš›πš’ 𝚠𝚊𝚘 πš”πšŠπš£πš’ 𝚒𝚊𝚘 πš—πš’ πš”πš’πšπš‘πš’πš‹πš’πšπš’πšœπš‘πšŠ πšžπš‘πšŠπš–πš’πšœπš‘πš˜.
 
Hakuna shule iliyowahi kujaa, ukiambiwa hamna nafasi ujue mwanafunzi matokeo yake sio mazuri. Ukienda kuomba nafasi shule yoyote mkuu wa shule atakuambia leta matoke yake nione utampa result slip akiona matokeo ya hovyo unaambiwa hakuna nafasi zimejaa ila akiona Kuna one Kali imejaa vibanda utaambiwa nafasi ipo shule hiyohiyo.

Hivyo bas hakuna shule iliyowahi kujaa, na mkuu wa shule Huwa hachagui wanafunzi yeye ni kuletewa tu na mwanafunzi akiwa na barua amepangiwa shule x mkuu wa hiyo shule hawezi kukataa huo uhamisho yeye ni kupokea tu.
 
Salaam! Ni binti amepangiwa kuripoti Kondoa girls, Na mimi nahitaji akasome Tabora girls, Kwa mwenye kujua process tafadhali nisaidieni......
Tabora girls ni special school hivyo kama ufaulu wake haukuwa Division one yenye AAA au AAB kwenye combination yake hawezi kuchukuliwa
 
Siku moja nilikua naongea na headmistress wa Tabora girls akaniambia ili mtoto ahamie pale anatakiwa awe angalau na AAB kwenye kombi.
 
Tabora girls ni special school hivyo kama ufaulu wake haukuwa Division one yenye AAA au AAB kwenye combination yake hawezi kuchukuliwa
Upo sahihi mkuu,hiki ndicho niliambiwa na bidada mkuu mwenyewe
 
Kilakala naipenda na wanafaulu kuliko hata Tabora girls,ukimtembelea unapitia madizini pale kula nyama haramu na ndizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…