Kwa hiyo alikuwa hana haja ya kuroot simu mkuu?Ili smartphone yako iwe na font unayoitaka wewe, lazima utumie app.
App rahisi kuliko zote ni iFont.
Kubadilo font, fuata hatua zifuatazo:
1: Download app ya iFont, halafu iinstall.
2: Download na install font unayoitaka, yaani andika jina la font unayotaka ikifuatiwa na neno .ttf
Hapo utakuwa umemamliza.
N.B.
Kudownload font unayoitaka, inabidi uijue hiyp font inaitwaje.
Kujua majina ya fonts mbalimbali, ingia google images tafuta neno 'font style', hapo utaona majina ya fonts mbalimbali zikiwemo unazozipenda
Hapana ifont lazima simu iwe rootedKwa hiyo alikuwa hana haja ya kuroot simu mkuu?
Ndiyo Mkuu.Kwa hiyo alikuwa hana haja ya kuroot simu mkuu?
Labda ni aina ya simu na simu, au brand na brand. Mimi natumia Samsung, huwa nabadili fonts kwa kutumia hiyo app ya iFont bila kuroot simu, na sijaroot simu yangu mpaka leo.Hapana ifont lazima simu iwe rooted
Ni kweli kabsa mkuu samsung ina font nzur sana ila unaweza kuongeza font kwwnye simu ya SamsungLabda ni aina ya simu na simu, au brand na brand. Mimi natumia Samsung
, huwa nabadili fonts kwa kutumia hiyo app ya iFont bila kuroot simu, na sijaroot simu yangu mpaka leo.