Msaada wa kuanzisha biashara

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
3,454
Reaction score
2,984
Heshima kwenu wakuu,
Nina kama milioni tatu kwa sasa mfukoni na malengo yangu nahitaji hii pesa niizungushe ifanye kazi na kuniletea faida. Naombeni mawazo yenu ni ujasiliamali gani nifanye au nianzishe biashara gani.
Mawazo ya kila mtu yataheshimiwa.
 
Kabla hujashauriwa hiyo biashara , waonaje ungepata kwanza ushauri wa methods za kutoa Uzi jamvini ?
Kwa maana ya ukitoa Uzi mmoja husika usitokee mara mbili .
Note : this post appeared twicely!
 
Duuh.. biashara ina ethics zake na moja haitaki majaribio.. kanunue hisa wakati unaendelea kutafuta hela nyingine..
 
Kabla hujashauriwa hiyo biashara , waonaje ungepata kwanza ushauri wa methods za kutoa Uzi jamvini ?
Kwa maana ya ukitoa Uzi mmoja husika usitokee mara mbili .
Note : this post appeared twicely!

Mbona unakimbia kimbia, sijakuelewa
 
Kabla hujashauriwa hiyo biashara , waonaje ungepata kwanza ushauri wa methods za kutoa Uzi jamvini ?
Kwa maana ya ukitoa Uzi mmoja husika usitokee mara mbili .
Note : this post appeared twicely!
Nadhani yule alikuwa mwingine tena cjui hana pesa kabisa kitu kama hicho.
 
Ha ha ha haaa ntafute nikupeleke ukalime hautajuta....................... najua tu watani zangu mtasema ila am serious ma people.
 
Mi mwenyewe nataka nifanye biashara ila sijajua ipi ni nzuri

I hope through this POST nitapata some ideas
 
Hapo hamna ujasiliamali tena...maana ungeshajua nini ufanye... ila haimaanishi huwez biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…