Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,423
Bila shaka mu wazima humu ndani,nimeleta uzi huu kwa nia ya kumsaidia ndugu yangu ambaye ana kijana wake ambae alifanikiwa kufaulu vizuri kidato cha nne na kuchaguliwa kidato cha tano,alipochaguliwa ni kama KM 1200 nikimaanisha mkoa mwingine na hapo alipo,sasa kwa bahati mbaya kijana huyo kashindwa kujiunga kutokana na kuugua sana na mpaka naandika hapa kijana yuko hospital anaendelea na matibabu,je ni utaratibu gani anapaswa kufuata ili kuahirisha mwaka.