hata mimi naomba kuelekezwa maduka mazuri ya suti
wewe uko mkoa gani na unataka suti za bei gani?
kama una mtu dar unayemwamini mtumie pesa na vipimo na rangi ya suti unazopenda na kama una smartphone yenye whattsapp itakuwa vyema zaidi --------- picha kwanza unachaguwa mwenyewe.Wanb0di
Napenda kuagiza suti za kichina bei kuanzia 100-150 kut0ka Dar,je vipim0 vyake nawezaje kutuma au kama unaduka la kuuza ni PM,mimi nik0 Mbinga-Ruvuma.
Ahsante.
isizidi laki1npo dar kwasasa
Wanb0di
Napenda kuagiza suti za kichina bei kuanzia 100-150 kut0ka Dar,je vipim0 vyake nawezaje kutuma au kama unaduka la kuuza ni PM,mimi nik0 Mbinga-Ruvuma.
Ahsante.
hata mimi naomba kuelekezwa maduka mazuri ya suti
kama una mtu dar unayemwamini mtumie pesa na vipimo na rangi ya suti unazopenda na kama una smartphone yenye whattsapp itakuwa vyema zaidi --------- picha kwanza unachaguwa mwenyewe.
mimi sifanyi biashara hii ila naletewa mpaka nyumbani suti bila kwenda dukani na sinunui suti za kichina, napata Italian suite kwa bei hiyo hiyo ya suti za kichina. kazu kwako.
ni brand new? tangaza offer yako na size.Mimi pia nina suti ila si ya kichina ni tux nyeusi ya Italy na inauzwa pamoja na shirt na belt na bowtie.
Nitumie namba zako