Wadau me ni mfanyakazi serikalini nimejichanga hela nimepata tumilioni 8.8 Nataka kuagiza gari noah 2001 au 2004 nahitaji msaada katika mambo yafuatayo
FOB
CIF
BID
Hivyo vyote vina maana gani na dealer gani wanabei nzuri yaani website gani e.g BE FOWARD OR JAPAN USED CAR OR SBT JAPAN ambao mawakala wao wapo bongo yaan nisiliwe hela na gharama za kodi zipoje yaan napigaje hadi nilifikishe mlangon
Halafu nimesikia wafanyakazi wa serikali bei zao za kodi zipo chini kuna ukweli katika hili na ninafanyaje hili nipate punguzo hilo
NATANGULIZA SHUKRAN ZANGU ZA DHATI KWA WATAKAOSAIDIA
Ahsante mkuu ofisi zao zipo wapi kwa dar au no zao za simu
hao jamaa ni uhahika na gharama zao sio kubwa sanaBei unayotakiwa kuielewa ni CIF,Maana ni bei itakayojumlisha bei ya kununulia na kuisafirisha hadi Tanzania,kuhusu kuitoa hapo ni kazi ya mawakala,unaweza kuwapata kupitia Welcome to GariYangu.Com lakini kama utanunua TOYOTA, NOAH, MODEL AZR60G,basi gharama ya kuitoa bongo itakuwa niCustoms Value 4,250.00 USDImport Duty 1,062.50 USDDumping Fee 1,062.50 USDExcise Duty 265.62 USDVAT 1,195.31 USDTotal Taxes 3,585.93 USDna gharama ya kuinunua itakuwa ni USD 2500 hii ni CIFNenda kwa wakala wa beforward watakusaidia sana ila watakuchaji pesa ya clearing and forwarding laki mbili na nusu
Mkuu sijakuelewa vzr hapo kwenye gharama,tafadhali fafanua!hao jamaa ni uhahika na gharama zao sio kubwa sanaBei unayotakiwa kuielewa ni CIF,Maana ni bei itakayojumlisha bei ya kununulia na kuisafirisha hadi Tanzania,kuhusu kuitoa hapo ni kazi ya mawakala,unaweza kuwapata kupitia Welcome to GariYangu.Com lakini kama utanunua TOYOTA, NOAH, MODEL AZR60G,basi gharama ya kuitoa bongo itakuwa niCustoms Value 4,250.00 USDImport Duty 1,062.50 USDDumping Fee 1,062.50 USDExcise Duty 265.62 USDVAT 1,195.31 USDTotal Taxes 3,585.93 USDna gharama ya kuinunua itakuwa ni USD 2500 hii ni CIF
Sema haki ya Mungu!!!Sahau hiyo habari ya wafanya kazi wa serikali kupata punguzo la kodi. Hiyo iliishaondolewa kwa taarifa nilizo nazo. Jiandae kulipa all taxes in full.
Tiba
Mkuu sijakuelewa vzr hapo kwenye gharama,tafadhali fafanua!
Sema haki ya Mungu!!!
tembelea website ya tradecar view utapata uhakika zaid
Zamani tulikua tunasema kua kwenye Boda (mipakani) wanatoaga Charges ndogo za kodi kuliko Makao Makuu Dar es salaam. Hivyo kodi ya Gari kwa Bandari ya Dsn ilikua kubwa zaidi kuliko ukilipitishia mpakani kutokea Mombasa. But siku hizi system iko Centralized so hauokoi kitu chochote kwenye upande wa kodi. Unaweza ku-save vitu vingine kama time na port charges maana Mombasa wanapakua kwa muda mfupi zaidi kuliko DSM, lakini huo umbali wa kuendesha from Mombasa tu DSM ni extra cost zingine.halafu kuna jamaa mmoja alitolea gari bandari ya mombasa hivi kule kuna unafuu kuliko huku kwetu au kunafanana msaada kwa wanaojua hilo
Sahau hiyo habari ya wafanya kazi wa serikali kupata punguzo la kodi. Hiyo iliishaondolewa kwa taarifa nilizo nazo. Jiandae kulipa all taxes in full.
Tiba