Pure Point, nilifanya mchezo huo kwa miaka 10, Kila nikiamua kuacha wapii.. sikuweza ikawa ni kawaida kufanya kila siku.
Siku Moja nikaamua tu kuwa kuanzia leo sipigi nyeto wala nini, na siangalii video za ngono and co. sijui ata nisikie connection ya Mobetto wala siiangalii. Sasa nina siku ya 2 sijapiga nyeto!