Jamaa anakwambia ameanza nyeto akiwa na miaka 19 wakati wengine wameanza na miaka 14 na wanapiga show fresh kabisa labda kama anapiga bao 5 per dayWakati wengine wanapiga nyeto ili wakaanzie bao la pili kwa mademu zao, wengine wanadai inawatoa mchezoni.!
Umesema kweli kabusaHakuna msaada utakao kusaidia kwa haraka kwa sasa... Ila siku utakayoaibika wakati wa show ndio siku utakayoacha rasmi huo mchezo
mkuu pole sana kwanza nikupe siri hakuna mwanaume ambae hajawah piga puchu ila wapo walioamua kuachaHabari Wana jf Mimi Ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 24 nikiwa na umri wa miaka 19 niliingia katika mkumbo wa kupiga punyeto nikajikuta...
Kula nyeto kistaarabu moja kwa wikiHabari Wana jf Mimi Ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 24 nikiwa na umri wa miaka 19 niliingia katika mkumbo wa kupiga punyeto nikajikuta nimezama humo Hadi sasa huku nikifikiri kua ndio njia sahihi yakutokufanya zinaa sasa umri unakwenda tatizo kubwa nililo nalo siwez kumtongoza kwanamke,Sina ham ya tendo landoa,nikifanya mapenzi sichukui muda hata wa dk10 tayari nimemwaga MSAADA TAFADHALI