Msaada wa ku-unlock sim card ya Vodacom!!

Msaada wa ku-unlock sim card ya Vodacom!!

Niko serious,siko kwa ajili ya kumjaribu mtu,nipo kwa ajili ya ku-gain.Nijaribu watu ili iweje?
Kama akili yako haiwezi kufikiria kunisaidia hii ishu piga kimya.
Nilitaka app ya andoid ya kupata serial number ya simcard bila kuingiza laini kwenye simu kwa kuandika tu namba za simu halafu inaluletea full info za simcard.
Unaweza kuipata ila mapaka uweke oda utengenezewe..
 
Tafuta simu nyingine ya voda piga customer care then fuata maelekezo..
Hizo njia nyingine utapoteza muda wako
 
Back
Top Bottom