EAGLE BOYZ
Member
- Jun 6, 2014
- 11
- 5
Wadau naomben msaada wenu wa jinsi ya ku unlock nokia obama kwa kuwa security code zake nimezisahau na ninaamin humu kuna magwiji watakaoweza kunisaidia common unlock code kwa simu za namna hii.
NAWASILISHA
NAWASILISHA