Msaada wa ku unlock huawei U8650 sonic!

Msaada wa ku unlock huawei U8650 sonic!

blacksplux

Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Hello, Habari wana JF, naomba msaada wa ku unlock simu yangu ya huawei U8650 ili iweze kutumia line zote.
 
Hello, Habari wana JF, naomba msaada wa ku unlock simu yangu ya huawei U8650 ili iweze kutumia line zote.
Code:
[URL]https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/515251-huduma-unlocking-phone-by-imei-number.html[/URL]
Karibu
 
Ahsante, ila me ninaomba kuelekezwa jinsi ya kui unlock, mfano software inayotumika, jinsi ya kuipata n.k.
 
Hello, Habari wana JF, naomba msaada wa ku unlock simu yangu ya huawei U8650 ili iweze kutumia line zote.

Hi urahisi unaweza kufungua huawei yako 8650 kwa kutumia kufungua code. Kama unahitaji kufungua kanuni unaweza kutembelea tovuti hii Onlinegsmunlock.com hapa unaweza kupata kanuni na kufungua yako huawei 8650 Mkono urahisi
 
Back
Top Bottom