Msaada wa ku-unlock Airtel Modem aina ZTE MF 190

Msaada wa ku-unlock Airtel Modem aina ZTE MF 190

eedoh05

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
632
Reaction score
237
Wana JF naomba msaada natafuta namna ya kuifungua modem yangu ya mtandao wa "Airtel" ZTE MF 190. Nimejaribu kutumia "Joinair software" ambayo inafungua modem za Vodacom za aina ya ZTE.Gharama za airtel zinafika mahala zinatisha. halafu ile promoshen yao ya mtandao wa miezi sita bure ni kiin macho. Sijui wengine mmeonaje?
 
Zte zimekuwa ngumu kama ku-unlock wengi wanatumia hiyo join air na kama bado imegoma tusubiri maoni zaidi Gud luck
 
tumia dc unlocker mkuu,search huku ndani kuna post humu zinaelezea jinsi ya kutumia...
 
Back
Top Bottom