Msaada wa ku track simu

Polisi ovyo tu niliibiwa cm maeneo ya mtongani nikaenda polisi mchakato walionipa niliamua kusamehe tu
 
Umeiset wakati umeweka pin

Wakiiba cha kwanza ni hard reset
Pili ni kuweka google adress mpya, hutoiona tena
Haina pin..siwekag pin kabisa mana unamshawish mwiz ku wipe simu

So far ukiwa na root access hata awipe kaz bure..labda aweke rom mpya
 
mpaka uwe unajua ime yake unatrack kwa kali linux mkuu
 
mpaka uwe unajua ime yake unatrack kwa kali linux mkuu
Imei nimeipata mana details zote za simu zipo kweny google dashboard..hivyo imei yake nayo ninayo

Sasa hapo kwa kutumia kali linux naomba unisaidie if possible
 
Imei nimeipata mana details zote za simu zipo kweny google dashboard..hivyo imei yake nayo ninayo

Sasa hapo kwa kutumia kali linux naomba unisaidie if possible
nenda google kaangalie how to use kali linux to track ime of phone
 
Hapo njia ni nying,unaweza weka on kawaida tu, au ukatumia app kama Avg,lookout, au kam ni Samsung nafkir inakua rahis kweny issue ya location..zipo app nying sana especially ukiwa na root access inakua poa sana
Nielekeze upande wa Samsung nitumie app mkuu maana mwizi hana rafiki
 
nenda google kaangalie how to use kali linux to track ime of phone
Nimegoogle fasta fasta lakin naona lazma niwe na mac adress ,sasa mimi nina imei tu
Inakuaje hapo mkuu
 
Polisi ovyo tu niliibiwa cm maeneo ya mtongani nikaenda polisi mchakato walionipa niliamua kusamehe tu
Baadae wanaitruck wenyeww wanapiga pesa kwa aliyenayo na simu wanachukua ndio dili zao siku hz
 
Si uende polisi mkuu, wanakamatwa na vyote wanalipa
Mh siku shauri uende mi nikigungua kesi mwezi wa 11 mwaka jana mpaka leo kila nikienda polisi wanasema ripoti toka tigo bado haijaletwa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…