Mkuu una set vipi location au inabidi simu mda wote gps uwe umeweka on?Ndio hivyo mkuu..simu ya dogo
Ila hii yangu hapa nimeshaiset kabisa hata ikiibiwa najua jinsi ya kupata..ngoja niwasubir wakuu
Hapo njia ni nying,unaweza weka on kawaida tu, au ukatumia app kama Avg,lookout, au kam ni Samsung nafkir inakua rahis kweny issue ya location..zipo app nying sana especially ukiwa na root access inakua poa sanaMkuu una set vipi location au inabidi simu mda wote gps uwe umeweka on?
Y3 ni pesa ndogo sana, nunua tu nyingine
Polisi wababaishaji tu mkuu.Si uende polisi mkuu, wanakamatwa na vyote wanalipa
Hawana msaada wowote labda uwape donge nono ndio watakufanyia kazi yako.Sana boss...
Mkuu haijaibiwa simu pekee...simu ndio njia ya kupata vitu vingine walivyo iba...vitu vilivyo ibwa thamani inafka had 5M mkuu...
Acheni mawazo mgando! Hiyo pesa ndogo dukani anapewa bure?Y3 ni pesa ndogo sana, nunua tu nyingine
Ndio hivyo mkuu..simu ya dogo
Ila hii yangu hapa nimeshaiset kabisa hata ikiibiwa najua jinsi ya kupata..ngoja niwasubir wakuu