Software gani?
Umejaribu kutumia Add/Remove Programs kwenye Control Panel ikakataa?
Unaweza ukadelete program folder yake, mara nyingi ipo kwenye C:\Program Files\Jina la program, pia itabidi udelete shortcuts kwenye start menu na desktop kama zipo.
kama umeshindwa mpaka sasa,mi nina software inaitwa Registry Mechanic tool ambayo inaweza kufanya hiyo kazi,kama hauna just contact me through 0716 31 77 21 if u want.
ya weKwa kujazia majibu nzangu hapo juu, unaweza kuondoa hiyo program inayogoma kwa kutumia programu nyingine. Mie mwenyewe nilijaribu kuondoa Nero 7 kwenye windows vista (haiendani na windows vista) na ilikuwa inagoma, nikafuata hatua alizopendekeza Kang hapo juu ikagoma vilevile. Niliweka programme yaREVO UNINSTALLER ambayo hutumika kuondolea programu sumbufu, ikaondoa hiyo Nero moja kwa moja. Programu hiyo ni bure, just download and install na ukishamaliza inaiondoa! Kuichukua hio programu, gonga katika bold hapo juu.
ya weKwa kujazia majibu nzangu hapo juu, unaweza kuondoa hiyo program inayogoma kwa kutumia programu nyingine. Mie mwenyewe nilijaribu kuondoa Nero 7 kwenye windows vista (haiendani na windows vista) na ilikuwa inagoma, nikafuata hatua alizopendekeza Kang hapo juu ikagoma vilevile. Niliweka programme ya REVO UNINSTALLER ambayo hutumika kuondolea programu sumbufu, ikaondoa hiyo Nero moja kwa moja. Programu hiyo ni bure, just download and install na ukishamaliza inaiondoa! Kuichukua hio programu, gonga katika bold hapo juu.
Good!
Ukisoma maelezo yangu hapo juu, hata mie nilisumbuliwa na programu ya nero.
Fuata maelekezo hapo juu, ukishamaliza uje utoe ripoti ili na wenzako wafaidike. Hakuna kitu kinachoshindikana penye wengi.