spleeingiant
Senior Member
- Oct 24, 2016
- 138
- 45
Wakuu nimepata changamoto kwenye ku sign in Netflix kila napomalizia kwenye credit card inagoma tatizo nini kila napowema CVV inaniambia Error in method payment
Nope bado sijaweka nilitaka kupata trial kwanzaUna hela kwenye card?
Trial wanakata pesa Kisha wanakurudishia mkuu, lazima wahakiki wewe ni mlipaji kweli.Nope bado sijaweka nilitaka kupata trial kwanza
So niweke tsh ngapi boss...Trial wanakata pesa Kisha wanakurudishia mkuu, lazima wahakiki wewe ni mlipaji kweli.
Wanakata kama si dola 1 ni 2 mkuu sikumbuki vizuri, pengine 5000 ikatosha.So niweke tsh ngapi boss...
Asante mkuuWanakata kama si dola 1 ni 2 mkuu sikumbuki vizuri, pengine 5000 ikatosha.
😂😂😂wabongo ndivyo tulivyoNitumie ujumbe WhatsApp 0628707503
Nikuuzie Netflix ambayo iko tayari imehostiwa yaan unaangalia movie mwanzo mwisho na wala hutumii bando lako yaan iko free kabisa