Iangalie hapa kwenye hii attachment
Hiyo ni ipod touch 4g...utafanikiwa mkuu just fuata process kwa makini na ukikwama popote nipm
Iangalie hapa kwenye hii attachment
Kaka ipod haiwezi kubeba whatsapp sababu tu haiwez kuwa na network carrier kitu ambacho whatsapp inakihitaji...
Ila let me teach you how i installed whatsapp ktk ipod touch yangu 4th generation;
1. Kwanza kabisa unatakiwa uijailbreak ipod yako...ku'jailbreak ni sawa na kurootkwa android ili uweze kupata na kuweka features ambazo awali ktk ipod yako hazikuwepo au hazikuwa accessed.
Google jinsi ya kujailbreak ipod yako muhimu kujua ios version yako wakati wa kujailbreak...na kama ukishindwa i will help you
2. Ukifanikiwa kuijailbreak ipod yako utakuta app inaitwa Cydia hapo ndo appstore ya features kibao za kutweak ios yako...ingia Cydia na then install Whatspad..hii itasaidia kufake carrier recognition katka ipod yako
3. Hapo hapo ktk Cydia search na install Vshare hii ni appstore ya china inakupatia apps zote na hata zile ambazo zina restriction ktk itunes store
4. Ukishainstall Vshare open it na then search whatsapp na uinstall
5. Open whatsapp baada ya kuinstall na uwe na simu yako pembeni ambayo utakuwa unataka hiyo namba itumike ktk whatsapp..then whatsapp itakuletea option ya kuingiza hiyo namba,ingiza hiyo namba unayoipendekeza kutumika na itatuma verification code ktk simu yako.
6. Baada ya kupokea sms yenye verification code, jaza verification code kwenye ipod yako na then anza kutumia whatsapp kama kawaida...ingawa ili kuitumia lazma uwe connected na wifi
7. Whatsapp itatumia majina na namba ulizozisave ktk Phonebook app ya ipod yako...so make sure majina na namba za hao watu unazijaza huko ktk Phonebook app
Hiyo ni ipod touch 4g...utafanikiwa mkuu just fuata process kwa makini na ukikwama popote nipm
Ni lazima ni jailbreak kwa kutumia computer