Msaada wa ku-install whatsapp kwenye iPod apple

Msaada wa ku-install whatsapp kwenye iPod apple

Superbrand

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2013
Posts
509
Reaction score
158
Habari, naomba msaada jinsi ya kuinstall watsapp kwenye iPod ya apple
 
habari, naomba msaada jinsi ya kuinstall watsapp kwenye ipod ya apple
chukua computer yako then install itune kisha ifungue ingia store ya itune udownload whatsapp, kisha tafuta program inaitwa iphone configaration utility kwenye laptop yako, kisha conect ipod yako kwenye computer then angalia kama hiyo ipod imesoma kwenye hiyo program the clik sehemu imeandikwa add ili uweze weka hiyo program kwenye ipod yako then istall hiyo program yako kwa kutumia hiyo iphone utility. Ukikwama sehemu niambie
 
Asante mkuu nitafanya sipo karibu na computer asante sana
 
Mkuu hata sijui ni generation gani?je nawezaje kuijua

You are better than this mkuu....
Unapotaka kusaidiwa hebu onyesha kweli unahitaji msaada kwa kutoa details zote kwa kadri ya uwezo wako wooooote
 
You are better than this mkuu....
Unapotaka kusaidiwa hebu onyesha kweli unahitaji msaada kwa kutoa details zote kwa kadri ya uwezo wako wooooote

Mkuu inaitwa iPod touch version 5.1.1
 
Imekataa ila viber nimefanikiwa Watsapp wemesema eti Ipod na ipad zenye operting ya Ois bado hazi support.

WhatsApp for iPhone requires iOS 4.3 or later. For the best experience, we recommend you use the latest version of iOS available for your phone. Please read this Apple Support article to learn how to update your iPhone's software.
Please note: iPod and iPad devices are not supported at this time.
We do not explicitly restrict the use of jailbroken or unlocked devices, but because these modifications may affect the functionality of your device, we cannot provide support for devices using modified versions of the iPhone's operating system.
 
Mimi ililataa lakini imekubali nakula hadi Jf hata nikikosa watsapp JF hadi raha

Sasa linaraha gani jitu mpaka wifi? Naukiwa kusiko na wifi unafanyaje? Au mpaka utumie wifi ya simu yako?
 
Sasa linaraha gani jitu mpaka wifi? Naukiwa kusiko na wifi unafanyaje? Au mpaka utumie wifi ya simu yako?

Nina WiFi router ya Airtel home WiFi kwa hyo hata nikiwa mtaani naendelea ku surf Mkuu TECHMAN
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1419317402954.jpg
    1419317402954.jpg
    51.3 KB · Views: 92
  • 1419317418532.jpg
    1419317418532.jpg
    31.4 KB · Views: 90
Kaka ipod haiwezi kubeba whatsapp sababu tu haiwez kuwa na network carrier kitu ambacho whatsapp inakihitaji...

Ila let me teach you how i installed whatsapp ktk ipod touch yangu 4th generation;

1. Kwanza kabisa unatakiwa uijailbreak ipod yako...ku'jailbreak ni sawa na kurootkwa android ili uweze kupata na kuweka features ambazo awali ktk ipod yako hazikuwepo au hazikuwa accessed.
Google jinsi ya kujailbreak ipod yako muhimu kujua ios version yako wakati wa kujailbreak...na kama ukishindwa i will help you

2. Ukifanikiwa kuijailbreak ipod yako utakuta app inaitwa Cydia hapo ndo appstore ya features kibao za kutweak ios yako...ingia Cydia na then install Whatspad..hii itasaidia kufake carrier recognition katka ipod yako

3. Hapo hapo ktk Cydia search na install Vshare hii ni appstore ya china inakupatia apps zote na hata zile ambazo zina restriction ktk itunes store

4. Ukishainstall Vshare open it na then search whatsapp na uinstall

5. Open whatsapp baada ya kuinstall na uwe na simu yako pembeni ambayo utakuwa unataka hiyo namba itumike ktk whatsapp..then whatsapp itakuletea option ya kuingiza hiyo namba,ingiza hiyo namba unayoipendekeza kutumika na itatuma verification code ktk simu yako.

6. Baada ya kupokea sms yenye verification code, jaza verification code kwenye ipod yako na then anza kutumia whatsapp kama kawaida...ingawa ili kuitumia lazma uwe connected na wifi

7. Whatsapp itatumia majina na namba ulizozisave ktk Phonebook app ya ipod yako...so make sure majina na namba za hao watu unazijaza huko ktk Phonebook app
 
Back
Top Bottom