Msaada wa ku Increase Traffic in site

GTA

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
878
Reaction score
653
Habari wadau wa Tech
Naomba kupewa msaada wa technique ya kuongeza traffic katika tovuti,
Nawasitani wa kutembelewa kwa siku 1K - 1.5K nataka niweze ku move kutoka hiyo stage kwenda kwenye 5k - 10 per day.
Nakaribisha michango yenu.
 
Reactions: Lee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…